19 August 2013

AJALI

Lori lenye namba T 630 AWJ, likiwa limeacha barabara na kuingia katika mtaro, baada ya dereva kushindwa kulidhibiti kama lilivyokutwa eneo la Tazara Barabara ya Nyerere,Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment