12 August 2013

UJENZI

Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya STRABAG ya Ujerumani inayojenga Barabara za Mradiwa Mabasi ya Haraka jijini (DART), akiandaa udongo wa kujengea mtaro wa majitaka, kama alivyokutwa Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni Mapipa, Dar es Salaam jana. Kampuni hiyo inajenga barabarausiku na mchana ili kumaliza ujenzi kwa wakati uliopangwa

No comments:

Post a Comment