06 August 2013

SALAMU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran wa zamani, Al-Akbar Hashemi Rafsanjani (kulia), alipotembelea mjini Teheran, Iran jana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo, Hassan Rouhani.

No comments:

Post a Comment