05 August 2013

NMB


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga (kulia),Bi.Mary Chatanda, akipokea msaaada wa vitanda vya hospitali kutoka kwa Meneja wa Benki ya (NMB), Bi.Vicky Bishubo wa Kanda ya kaskazini (kushoto).Vitanda hivyo Kumi vyenye thamani ya shilingi milioni tano, vilikabidhiwa mwishoni mwa wiki katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika wilayani Korogwe. Msaada huo utazifikia hospitali zote zilizopo mkoani humo.

No comments:

Post a Comment