02 August 2013

HAKATWI MTU HAPA

Meneja Uhusiano wa Airtel Bw.Jackson Mmbando (katikati) akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Airtel money Bure ijulikanayo kama ‘Hakatwi mtu hapa’ itakayowawezesha wateja wa Airtel kutuma na kutoa pesa bure popote pale nchini. Kushoto ni Meneja uendeshaji Airtel Money, Asupya Naligwingwa na kulia ni Meneja Masoko Airtel Money, Rwebu Mutahaba.

No comments:

Post a Comment