26 August 2013

DC NZEGA,MADIWANI SASA KUMVAA PINDA



Na Moses Mabula, Nzega
MKUU wa Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora, Bituni Msangi, anatarajia kuwaongoza baadhi ya madiwani kwenda kwa Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda kulalamikia mpango wa Wilaya hiyo kucheleweshwa kuwa Halmashauri ya Mji.

Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, kilichokaa hivi karibuni kilimteua Msangi na baadhi ya wajumbe kwenda kumuona Bw. Pinda ili aweze kulitolea ufafanuzi.
M a d i w a n i h a o wanashangazwa na mpango huo kuchelewa mbali ya taratibu zote za kuanzishwa kwake kukamilika.
Walisema utekelezwaji mpango huo unachukua muda mrefu wakati Wilaya nyingine kama Tarime, mkoani Mara, tayari imetangazwa kuwa Halmashauri ya Mji.
A k i j i b u h o j a h i y o , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Bw. Ab d u l a h ama n Md eme , alisema kuwa ofisi yake tayari iliwasilisha maelekezo yaote muhimu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), likiwemo suala la kuongeza kata na mipaka.
K w a u p a n d e w a k e , Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Bw. Patrik Mbozu, alisema hatua ya kumteua Msangi kwenda kumuona Bw. Pinda anaiunga mkon

No comments:

Post a Comment