Na Thomas Mtinge, Mbeya
CHAMACha Dem okrasian aMae ndeleo(CHAD EMA),kimepat ap igobaada yawana
cha maw ake 365ak iwem oMj umbewaNE CnaBara zaKuula Vijana(BAVI CH A),Fran
kFumpa kukihama chama hichonakujiu ngan a CCM.Mba li na CHADEMA, wan
achamasitakutokaTLPna wanne CUFnaowamevih ama vyama vy aona kujiung anaCCM.
Fumpana wenzakew ali chukua uamuzi
huojuziba aday a kukabidhi kad i zaoza uana cham akwa MwenyekitiwaJumu iyaya
Waza ziTaifay a Chama ChaMapinduzi (CCM),Ab dalla hBulembokatik a mkutanowahadh
ara uliofanyika maeneo ya Nzovwe mk oaniMbeya.
Miongon i mwa wana ch
amahao,wamoAmbundileMwamtondonaAlex Mwa isango ambaoniwapi gadebe wakub wana
wakute gem ewana CHADEMAkat ikasokolaMwanjelw am koani ha pa eneoanako ish i
Mbungew aJimbolaMbeya, JosephMbilinyi.
Akiz ungumzamara baada ya kukabidhi kadi
hiy o,Fumpa ali semaa lia muakuc hukua uamuzihu o aliouitakuwa nimgum
ukwakeilikuondokana na adha ya kutumika na CH ADEMA.
" Kuwepondani y aC HADEMAsi
utukufunakuingia CCMs idhambi, n imeamua kurudiCCM k wababana mamabaadayakuchos
hwan asera mbo vuz a CHA DEMA ," alisemaFumpa.
Alise ma, anajuta kupoza muda wake mwingi
a kiwaCHADEMAkwa kukosa nafasi yakuwa tumikia wanan chiw enzakekatika kuleta
maendeleo.
"Sisi tulikuwa tukipoteza muda tu.
Pamoja na kushikilia jimbo hili la Mbeya Mjini, lakini hakuna chochote
tulichowafanyia wananchi wetu zaidi ya kupinga kila jambo linalofanywa na
serikali ya CCM hata kama ni zuri," alisema.
Fumpa alisema, anashangaa CHADEMA kukebehi
maendeleo yanayofanywa na serikali ya CCM huku chenyewe kikishindwa kuonesha
mfano wa kile ilichokifanya.
Alisema, Serikali ya CCM ina kila hali ya
kujivunia na kutembea kifua mbele kutokana na mengi iliyoyafanya kwa wananchi
wake katika kipindi cha utawala wake.
"Anayesema serikali ya CCM haikufanya
kitu huyo ana dhambi. Ndiyo maana hata mimi niliamua kuondoka mapema CHADEMA
ili nisiendelee kupata dhambi," alisema Fumpa.
Kwa upande wake Mwaisango alisema,
kuondoka kwao kumekipa pigo kubwa CHADEMA na kwamba kuanzia sasa watafanya
operesheni 'Safisha CHADEMA' kwa kuhamasisha wanachama wake wajiunge na CCM.
Naye Mwamtondo alisema CCM ina kila sababu
ya kujivunia baada ya kupata wanachama hao ambao walikuwa tegemeo la CHADEMA.
"Mwenyekiti sisi hatuna la kusema,
tumerudi CCM kwa hiari yetu sasa kazi moja tu ni ushindi kwa CCM,"
alisema.
Akiwahutubia mamia ya wananchi
waliohudhuria mkutano huo, Bulembo alisema kujiunga CCM kwa wanachama hao
kumeichimbia kaburi CHADEMA.
No comments:
Post a Comment