MAISHA yabaad hi yawakaziwa Kij iji chaMar
umba, Wilayaya Tundu rumkoani Ruvum ayakoh atarinikwaku hofiakuli
wanawanyamawaka liwakiw emosim ba, anaripoti Elizabeth Joseph, Tunduru.
Waki ongeakwan
yakati tofauti katikakijiji hich owakazi haowalisema kuwamaishayao yako
hatarinihasa n yakati zau sikuwakiwawanawahi usa firi.
Mkaz i
mmojawaeneo hilo, Dunia Alma si alisemaku wa katika kijijih ichokumekuw
anatatizolakuwep osi mbanyakati zausiku ku anzias aatatu jamboam
balolinahataris ham aishay ao.
"Usafiriwa
kwend amjini katika kij ijichetu unap at ikanas aatisausiku nani garim ojatuhivyo
ina tula zimukudamkam apemailikuwahi basi lakini nji atunazo zitu mia
niporitupusasah aosimbawataacha kutud huru? "Ali hoji Alm asi.
Aidha mkaz
imwin gine aliyejitambulishak wa jinamojala Hope alisemahakunahuduma
muhimuikiwemo usafiri, barabaranzuri hali ambayo huwalazimu wa kazi hao
kutembea u mbali mr efuilikupatausafiri nanyakatiza usiku.
"Maisha yetu yako hatarini na
tunaishikw a hofukubwa kwani inatulazi mukuwahi kulalak uhofiakuliwa nas imba
hatamto toamanduguzet uwakichele waku rudi un aweza ku dhan i kuwa ameliwa
nasimbapiakwawakatim wingineikitokeakuw akunam gonjwaanayehita jikaku pelekw
azahanati usikutuna ingiwanahofuw akati mwin ginehata w ag onjw
ahufatukiwaangalia kwakuwa tunaogopa naukian galiazahanati iko mbali," ali
semaHope .
K waupandewakeDiwani wakata hiyo, M senga
Msengaalipotafutwa iliku thibitis hataarifa hizi alielezakuw ataarifaza
simbaaliz ipatanakuongezakuw asimbahaowam esa babishwa nawa fugaji walio vam
iaHifad hi y aSelous kwa ajiliyama lishoyam ifugoyaondiyomaanaw anah ama
kutokakatika hifadh ihiyonakuingia katikamae neoyamak aziya watu.
Mse ngaalio ng ezakuw abaadaya kupewa
taarifa hizo aliwafuata na kuongea na wafugaji hao na kuwaamuru wahame katika
hifadhi jambo ambalo hawakulitekeleza hadi hivi sasa lakini aliahidi kuendelea
kulifuatilia.
Aliongeza kuwa suala la magari ya abiria kuondoka
nyakati za usiku na nauli kuwa kubwa kiasi cha shilingi elfu nane lilishawahi
kuongelewa ambapo wamiliki wa magari hayo walipewa taarifa ya kupunguza nauli
na kuangalia muda mzuri kwa ajili ya usafiri wa abiria lakini hakuna
kilichotekelezwa.
No comments:
Post a Comment