05 July 2013

KATIBA


Mbunge wa viti maalum Alshaymaar Kwegyir akifungua mkutano wa kujenga uelewa wa rasimu ya katiba mpya kwa wajumbe wa Baraza la Katiba,Dar es Salaam jana. Katikati ni mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania, Lupi na Mkurugenzi Mtendaji wa shirikisho hilo Bw. Novath Rukwago.

No comments:

Post a Comment