19 July 2013

UKAGUZIMkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi, Mtaa wa Azimimo Kata ya Miburani wilayani Temeke, Mohamed Jaf Khamis, akisikiliza maelezo ya Ofisa Usalama wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania(TANESCO) Mkoa wa Ilala, Bw. John Chirare (kushoto)Dar es Salaam jana,baada ya kugundulika kwa waya zilizochimbiwa ardhini kutoka kituo hicho kwa lengo la kuwasambazia huduma hiyo wafanyabiashara wenye vibanda vya kukaanga viazi na saluni katika eneo hilo kinyume cha utaratibu.

No comments:

Post a Comment