19 July 2013

AJALI

 Baadhi ya wakazi wa Mbagala wakiliangalia basi dogo, Toyota Hiace namba T 406 ACS, lililotumbukia kwenye mtaro baada ya dereva kushindwa kulidhibiti juzi Dar es Salaam. Ajali hiyo ilisababisha majeruhi ikiwa ni pamoja na kondakta wa basi hilo kukatika kiganja cha mguu. Inadaiwa kuwa ajali hiyo ilitokea wakati dereva wa gari hilo akivaa viatu huku gari hilo likiwa katika mwendo

1 comment: