23 July 2013

TAIFA STARS KWENDA KAMPALA KESHO Na Mwandishi Wetu
TIMUy aTaifayaTanzania (Taif aS tars) , in aondokaMwanzakeshokwe ndaKampala, Uganda kwaajili ya mechi yamarudianoyaKombelaC HANitak ayochezwa Ju mamosi Uwanj awaMandela kuanzia saa 10 kamilij ioni
.T aifaStarsi nayodham iniwanaKilim anjar oPremiumLager, ikoka mbi niMwanzac hiniyaKoc haKimPo ulsen, tang uJulai 14, mwa kahuukujian da akwamechi hiyoita kayo amuanit imu i pi katiyahizo mbili itachezaF ainali zaCH ANzitakazofanyika mwakani nchiniA frikaK us ini.
Kwa mujibu wataarifa iliyotolewa kwavyombov yahabari ja nanaOfisa Habari w aSh irikisholaMp ira waMiguuTanz ania, Boniface Wa mbura, timuhiyoitaondokauwan jawandege wa Mwanza saa 7.25mc han a.
Wa mburaa lis em ati muhiyoitaondo kakwand egeya Precisio nAir, nai nata rajiwaku tua Uwanjawa Ndeg ewaKimata ifawaEntebbe saa 10.15 jioni.
Wakati huo huo, Kocha Kim Poulsen leo atakuwa na mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia maandalizi ya kikosi chake. Mkutano huo utafanyika saa 5 kamili asubuhi kwenye hoteli ya La Kairo jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment