Na Mwandishi Wetu
KAM
PUNIyaMaw asilianoyaSimu, V oda comTanzania imelipakiasi ch ash.bilioni18 kama kodiyam akampuni katikarob oyamwak a wafedha2013/2
014u nao anziaAprili Mosi, mwaka huu mpaka Machi 31, 2014.Mbali
namalipoya kodi yamakampuni, Vodaco mTanzania imelip akias ich ash.50,
694,224,199kamak odin au shurumbalimb ali, ana semaMkuruge nzi Mtendaji wakamp
uni hiyoyaVodacomTanzania , Bw. R ene Me za.
"Kodihizi
nipamojana:Ushuru waBidh aaambaonikiasic hazai di yash . bilioni 13 , kod iya
mak amp un iniz aidi y as h. bilioni24,zuiolak od izaidiya sh.bilioni
16nakodiambazozilikusanywakw a nia ba ya serikali katika kipindi hicho (PAYE)
ni sh. 4,166, 020, 453,"alisema.G haramanyi
nginenaadani:Adayaudhibiti yashilin gi 1,08 6, 197, 864,ushuruwaUSCAF( USCAFLevy
) sh. 4 07, 324,199 ,ushuru wahudu maza m pangomiji (CitySer viceLe vy)sh.662
,928,965, kodiyamatangazoyam anisp aa(Mun ici pal Adverti sin gTax)ya
sh.562,945,7 17, Kodiy aMich ezoyakubahatisha(Gaming B oardFee s) yas h.
397,467,49 5,ushu ruw aSDLsh. 911,260,631,ush uruwa sta mpu (St ampD ut y)
sh.239,3 02,Ush uruwastad inamaendeleo(Sk illsand De velopme nt Levy) sh .911,2
60,631naKodi yaMifukoy aJ amii(Social Secu rityContributions) ya sh.1, 295,077,
519.
"
Tumewezakuchangiaush uruwaserikali kwa kiasi kikub wakwa sababua mb
apotumeanzakuonjamatund ayauwek ezaji wetu nchini. Vile vile tumeguswa na
ongezeko la kodi kwenye sekta ya mawasiliano na hili linaweza likaathiri uwezo
wa wateja wetu kulipia gharama hizo kwani hapo nyuma gharama hizi zilikuwa
zikipungua na wateja kuzifurahia kuweza kuzimudu," Meza alisema.
Aidha, aliendelea kusema kuwa Vodacom
inaelewa kuwa serikali inahitaji kukusanya mapato kwa ajili ya kuwekeza kwenye
miradi ya maendeleo, lakini ongezeko la kodi katika huduma za mawasiliano ya
simu za mikononi itapelekea kushuka kwa ulipaji wa kodi ya kampuni kutokana na
kupungua kwa matumizi kwa wateja wa simu.
Mwaka jana Kampuni ya Vodacom Tanzania
ililipa kodi ya makampuni inayofikia kiasi cha sh. bilioni 36, sambamba na
ukusanyaji wa sh.92,322,077,623kama ushuru na sh. 51,337,344,600 kama gharama
za ushuru wa bidhaa na 4,565,183,461 kama kodi ya makampuni kwa niaba ya
serikali.
Ni kiasi gani Kampuni ya Vodacom
imedhamiria kuwekeza kwa mwaka 2013/14, Bw. Meza alisema kuwa Kampuni yake ina
mpango wa kuwekeza zaidi ya shilingi bilioni 207 katika kuboresha mawasiliano
na upanuzi wa wigo wa mawasiliano.
"Tumedhamiria kuhakikisha kwamba
Watanzania wengi zaidi wanapata huduma yetu na ndiyo sababu tumeongeza wigo wa mtandao
wetu, hadi kufikia mwishoni mwa Juni 2013. Kampuni ya Vodacom Tanzania
imewekeza kiasi cha zaidi ya sh. trilioni 1.3 toka kuanzishwa kwa shughuli za
uendeshwaji hapa nchini.
Licha ya kutoa huduma za mitandao ya
simu, Bw. Meza alisema kuwa Vodacom inajivunia kuwa na wigo wa kuchangia
shughuli za kijamii.
Mwaka 2012, Vodacom Tanzania
kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii uitwao Vodacom Foundation imetumia kiasi
cha sh.bilioni 11 kwenye sekta za afya, elimu na shughuli zingine za kiuchumi
hapa nchini.
Mfuko
huo wa Vodacom Foundation umeshasaidia miradi ya maendeleo ipatayo 120 mpaka
sasa, kutokana na uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kutoa elimu kwa jamii na
kutokomeza ugonjwa wa fistula Tanzania, kusaidia vifaa vya kufundishia shuleni
na kuwawezesha wanawake wanaoishi vijijini kwa kuwatafutia njia ya kupata maji
kiurahisi.
No comments:
Post a Comment