Rais Jakaya Kikwete akiangalia
mafuta ya alizeti yaliyosindikwa na mashine zilizotengenezwa na Shirika la
Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO), wakati wa Maonesho ya Biashara ya 37 ya
Kimataifa kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba), alipotembelea banda la
shirika hilo, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment