31 July 2013

MAKAMBA AWAASA VINYOZI,WASUSI KUJIUNGA NA MIFUKO



Na Rehema Maigala
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba am ekitakaChamachaViny ozina Wasus iT anzan ia(VIWA) kuji ungakati kamifukoy ajamiiili waw ezekusonga mbele katika kuiletea fani yaomae ndeleo.

Hayo alisem ajuzi w akati wauzind uziwa chamah icho,am bapoalisema n guvukub wayavija nawamein gi akatikafani hiyo lakini kip atocha o badonik idogo.Ali semavinyozi naw asusi ni taaluma nyetilakini imesahaulik ahivyowanatakiwakujiungak atik aviku ndiiliwa wezekukopeshw akwaaj ili yakujie ndel ezakatika biasharazao .
"Kujiu ngakatika mifuko ya jamii kunasaidia cham aauv ikundi fulan i kuko peshwapesa kwaaji li y akujiendelezakatikamalengo yenumnayoy ahitaj i,"alisem aMak amb a.Hatahivyoali kisifuch amachaVIWA kwa kujiungak wap am ojakwaajili yak utafutamaendele oya onakuta mbu likakwa serikali na jamii nzima ya Tanzania.
Vilevile alikiahidi chama hicho kuwa atatafuta wataalamu wa kutunga katiba ili waweze kutengeneza katiba ya VIWA ili kupunguza migogoro katika chama ."Katiba ina umuhimu katika chama inapunguza migogoro ya mara kwa mara kwa kuwa yenyewe ndio itakayokuwa inawaongoza katika mambo yenu mbalimbali," alisema Makamba.
Naye mwenyekiti wa chama hicho Abdallah Shabani alisema "fani ya wasusi na vinyozi imekuwa ni fani ya kudhaaurika kwa muda mrefu hivyo tunaiomba serikali itupe kipaumbele kama vyama vingine ili tuweze kusonga mbele kwa yale tunayoyafanya."
Alisema kuwa vijana wanaoingia katika fani hii wanaonekana ni wale waliokosa mwelekeo na hawana elimu ya kutosha, ndio maana wameamua kujiunga katika fani hizo.Pia alisema wao wana uwezo mkubwa wa kuboresha afya ya Watanzania na kuididimiza afya kwa kutumia vifaa wanavyotumia wanapokuwa k

No comments:

Post a Comment