05 July 2013

MPASUKO


Baadhi ya wananchi nchini Misri wakishangilia mapinduzi yaliyofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Rais Mohamed Morsi. Jeshi hilo lilikabidhi madaraka hayo kwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Kikatiba nchini humo Adly al- Mansour.ambaye aliapishwa jana kuwa rais wa muda.

No comments:

Post a Comment