18 May 2013

Twisheni shuleni sasa basi


Na Andrew Ignas


 OFISA elimu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kwa elimu ya msingi, Bi Elizabeth Thomas amesema serikali hairuhusu masomo ya ziada (twisheni) shuleni kwa kuwa inazorotesha elimu nchini.
Hayo ameyasema jana,wakati wa kongamano la walimu wakuu,waratibu pamoja na wadau mbalimbali wa elimu lililofanyika katika ukumbi wa shule ya msingi ya Mnazi Mmoja ambalo limeshirikisha zaidi wa wajumbe 95 wa halmashauri ya manispaa hiyo.
Akizugungumza na washiriki wa kongamano hilo, Ofisa elimu huyo alisema kuwa serikali inakemea masomo ya ziada (twisheni) kwa kuwa ni njia ambazo walimu wanajikusanyia mapato na si kukuza elimu.
"Kutokana na utafiti uliofanywa tumegundua kwamba walimu wanafanya uzembe kufundisha darasani ili wawashawishi wazazi wa wanafunzi kutenga muda wa masomo ya ziada,"alisema
Waka t i huo huo , Ofisa TAKUKURU wa Mkoa wa Ilala,

No comments:

Post a Comment