Mkazi wa jiji akitupa takataka kwenye Barabara ya Morogoro, kama alivyokutwa Magomeni Kagera Dar
es Salaam jana. Barabara hiyo inaendelea kujengwa na Ksampuni ya STRABAG ya Ujerumani, kama
alivyokutwa jana. Tabia hii inachangia mlipuko wa magonjwa. Picha na Charles Lucas
Bado tuna kazi kubwa ya kuelimisha watu juu ya kutupa taka ovyo.
ReplyDeleteMtu mzima na akili zake anakula hindi lake kanunua mtaani akimaliza anatupa tu maganda popote bila kuona kwamba hilo ni tatizo.
Tusipoanzia hapo tutahangaika bure.
Labda tulete watu wa Moshi watusaidie!!!