13 March 2013

TAMKO MOAT


Mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya Ufuatiliaji wa kuzorota kwa mazingira ya usalama wa wahariri na waandishi wa habari, ambaye pia ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Business Times Limited, Bw. Aga Mbuguni (kushoto), akisoma moja ya matamko ya Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dar es Salaam jana, kuhusu matukio ya utekaji na utesaji kwa waandishi na wahariri yanayoendelea kutokea nchini na hatua zitakazochukuliwa kudhibiti vitendo hivyo. Wengine ni baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo. (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. HAWA WANAHABARI NI SAWA NA WATU WENGINE VIONGOZI WA DINI ,ASKARI POLISI ,NA WANANCHI WA KAWAIDA HAKUNA ALIYE BINADAMU ZAIDI ILA UCHOCHEZI UKOME HARAKA SANANA MUKOME KUJINASIBU KUWA NI MHIMILI WA NNE WA DOLA KWENYE KATIBA IPI TUNAKARIBIA KUWACHOKA

    ReplyDelete