11 March 2013

SIKU YA FIGO


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi,  akizungumza na waandishi wa habari,(hawapo pichani) Dar es Salaam jana, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Figo Duniani Machi 14, mwaka huu. Kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment