04 March 2013

PAMBO


Mmoja wa mafundi Ujenzi, Bw. Sadick Ally akiangalia sanamu ya samaki aina ya papa lililopo katika makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi, Dar es Salaam jana. Sanamu hiyo imewekwa kwa ajili ya mapambo katika eneo hilo. (Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment