13 March 2013

JOHO

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad, akivikwa joho na Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Bw. Abdul Kambaya (kushoto), lililoandaliwa na wanawake wa chama hicho, wakati wa mkutano wa hadhara Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment