04 March 2013

FERI


Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Samaki Feri jijini Dar es Salaam wakitishia kuvunja geti baada ya kufungwa kama wanavyoonekana wafanyabiashara hao wakishinikiza kufunguliwa kwa geti hilo.(Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment