05 February 2013

ZIMAMOTO


Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania, Kamishina Rogatius Kipali, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu jeshi hilo kuwa ma madarajka kamili chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Kulia ni Kamishina Jenerali Pius Nyambacha. (Picha na Peter Mwenda).

No comments:

Post a Comment