05 February 2013

VIPODOZI


Baadhi ya wafanyabiashara wakiokoa vipodozi na bidhaa nyingine, wakati wa ajali ya moto kwenye maduka yaliyopo Stendi ya Daladala Mwenge, Dar es Salaam jana. Jumla ya maduka 19 yaliungua. Kulia (picha ndogo) Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakipambana kuzima moto huo.  (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment