27 February 2013

UGOMVI


Kondakta wa daladala Toyota DCM linalofanya safari kati ya Posta na Tabata Segerea, akitumia nguvu kumshusha
Abiria (ambaye hakufahamika jina), baada ya kutuhumiwa kutolipa nauli, kama walivyokutwa eneo la Mnazi Mmoja Barabara ya Uhuru, Dar es Salaam jana. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment