20 February 2013

PONDA KORTINI


Watuhumiwa wa wizi wa mali yenye thamani ya sh. milioni 59, na uchochezi, wakipelekwa mahabusu mara baada ya kusikilizwa kwa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda na Bw. Mucadam Abdallah Salum. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment