21 February 2013

NYANYA


Mwendesha baiskeli (kulia) akisaidiwa na wasamaria kuokota nyanya zilizomwagika baada kushindwa kuidhibiti baiskeli hiyo wakati ikiwa katika mwendo, kama walivyokutwa eneo la Posta Barabara ya Sokoine, Dar es Salaam jana. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment