06 February 2013

NYANYA


Dalali wa nyanya katika Soko la Ilala, Kaniki Ramadhani akiwa ameshikilia 'kitita' cha fedha wakati akifanya hesabu za biashara hiyo, kama alivyokutwa Dar es Salaam jana. Sanduku moja la nyanya lilikuwa likiuzwa kwa sh. 18,000. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment