27 February 2013

MATUNDA


Mkazi wa jiji akipita kando ya mkokoteni wenye matunda aina ya peasi yaliyooza, kama yalivyokutwa Mtaa wa Tandamti Kariakoo, Dar es Salaam jana. Tatizo la kukosekana kwa viwanda vya usindikaji wa matunda nchini linasababisha baadhi ya wakulima kupata hasara kutokana na matunda wanayolima kuoza baada ya kukosa soko. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment