26 February 2013

MAEGESHO


Mwendesha pikipiki ya gurudumu tatu 'Bajaj' akiwa ameegesha kwenye barabara, wakati akifunga mzigo juu ya pikipiki hiyo na kusababisha msongamano wa magari, kama alivyokutwa Mtaa wa Sikukuu Kariakoo, Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment