05 February 2013

MADHIMISHO


Baadhi ya Wanawake wa Kiislam wa Tanzania (JUWAKITA-BAKWATA), wakiwa katika  maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), ikiwa ni pamoja na maadhimisho ya Miaka 34 ya Mapinduzi ya Kiislam ya Jamhuri ya  Iran, yaliyofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment