06 February 2013

MADAFU


Wasamaria wakisaidia kuidhibiti baiskeli baada ya kuangukia gari namba T 309 AWU. Kushoto ni dereva wa gari hilo akiangalia sehemu iliyoharibika katika gari hilo, kama walivyokutwa katika Barabara ya Sokoine Posta, Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment