11 February 2013

KERO


Muuzaji wa pipi (kushoto) na Mwanamke mchuuzi wa   korosho (kulia) wakiwa wamepanga biashara zao katika njia ya watembeao kwa miguu katika eneo la Shule ya Uhuru Kariakoo, Dar es Salaam jana. Upangaji huo husababisha kero kwa kuziba njia. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment