18 January 2013

VIAZI


Mfanyabiashara wa viazi akitafuta wateja katika Barabara ya Msimbazi Kariakoo, Dar es Salaam jana, kukosekana kwa  ajira rasmi kumechangia baadhi ya vijana kujiajiri ili kujipatia kipato. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment