MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:

mawasiliano

  • Makala
  • Uchumi na Biashara
  • Michezo na Burudani
  • Habari Mikoani
  • Mwanzo

03 January 2013

TEMBO WA SADANI


Tembo akichunga katika malisho ya Mbuga ya Sadani iliyounganisha Mikoa ya Pwani na Tanga. Tembo huyo anakadiliwa kuwa na miaka kati ya 50 na 60, tembo huishi hadi miaka 90. Mnyama huyo hufikia uzito wa tani saba, hunywa maji takribani lita 200 kwa siku na kula aina ya miti 360 ambapo ni asilimia 33 tu ndiyo inayofanya kazi mwilini mwake. Tembo hubeba ujauzito kwa miezi 22 kwa kila mtoto mmoja. Tembo hubeba ujauzito mwingine baada ya miaka 6 hadi 9. Tembo hulea mtoto kwa miaka 50. (Picha na Im

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Archive

Zilizopendwa

  • HOFU YA VYETI FEKI SERIKALINI
    WATUMISHI WOTE SASA KUHAKIKIWA VYETI VYAO ASKARI WALIOVITUMIA KUPANDA VYEO KUKIONA   Na Heri Shaaban Wizara ya Ulinzi na Jeshi ...
  • LOWASSA ‘AFUNGUKA’ KWA WAUMINI
    Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa (mwenye suti),akiwaaga waumini wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Mtandi,Wilaya ya Mas...
  • KILI STARS 'MTOTO HATUMWI SOKONI LEO'
      Na Mwandishi Wetu, Nairobi T imu ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), leo itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Burundi ka...
  • ZITTO AKATISHA ZIARA YA SLAA
    CHADEMA KIGOMA YASHTUKIA MCHEZO MCHAFU HOFU YA KUTOKEA VURUGU YATANDA MAJIMBONI  Na Mwajabu Kigaza, Kigoma C hama cha Demokrasi...
  • MAGUFULI: SINA HURUMA KWA MATAJIRI WA MAGARI
    Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, amesema ataendelea kusimamia sheria ya barabara namba 30 ya mwaka 1973 hadi anaingia kaburini kwa...

TAFUTA HABARI

Google
Custom Search

PATA HABARI


Majira
Business Times
Spoti Starehe

mawasiliano

mhariri mtendaji - 0773138085
mhariri wa habari - 0774442490

Dawati la makala
mhariri michezo - 0774442860
matangazo - 0774443110
usambazaji - 0774441131
Picture Window theme. Powered by Blogger.

Visitors - Start from November 9, 2011

Majira counter