21 January 2013

SANDUKU


Msukuma mkokoteni akisafirisha sanduku za chuma kwa ajili ya maandalizi ya kuuza kama alivyokutwa mtaa wa msimbazi Dar es Salaam jana. Sanduku hizo hutumika hasa kwa wanafunzi wa shule.Picha na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment