14 January 2013

SALAMU


Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha 
Rais wa Madagascar, Bw. Andry Rajolina (kushoto)  mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam jana, kwa ajili ya majadiliano, ukiwa ni sehemu ya mpango wa amani wa nchi za SADC wa kumaliza mgogoro kati yake na rais wa zamani, Bw. Marc Ravalomanana, aliyeondolewa madarakani kinyume cha Katiba. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment