16 January 2013

MTARO

Baadhi abiria wakipanda daladala lililoegeshwa kando ya mtaro ulio wazi, kitendo kinachohatarisha usalama wao, kama walivyokutwa kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Mbagala eneo la Shule ya Uhuru Kariakoo, Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Twite)  

No comments:

Post a Comment