21 January 2013

MKUTANOKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Nape Nnauye, akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza jana ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa
chama chicho Bara, Bw. Philip Mangula. (Na Mpigapicha wetu)


1 comment:

  1. Nimevutiwa sana na hii picha namshukuru Mungu kwa kunipa elimu hii ya uchanganyaji na uhariri picha!

    ReplyDelete