Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilayani Kondoa, Mkoa wa Dodoma, Alhaj Omar Kariati (mbele), akikagua mazao yaliyoharibiwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, wakati wa ziara ya kuona uharibifu kwenye kata hiyo juzi. Mafuriko hayo pamoja na kuharibu mazao pia yameua mifugo na kusababisha kaya kadhaa kukosa makazi. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment