28 January 2013

UJENZIMfanyakazi wa Kampuni ya STRABAG akisawazisha zege kwa  kutumia ufagio,katika barabara ya morogoro Dar es Salaam jana. Ujenzi huo tangu umeanza una miezi 9 na unategemea kumalizika mwaka 2014. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment