18 January 2013

AJALI


Baadhi ya wapitanjia wakiangalia magari teksi namba T 688 AEN na daladala namba T 648 BBK, yaliyogongana makutano ya Barabara za Uhuru na Sikukuu Kariakoo, Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment