13 December 2012

MZOZO


Muongozaji treni wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), akizozana na dereva wa gari dogo namba T 920 BGG, teksi (hayupo pichani), baada ya kutotii amri ya kusimama kupisha treni  kwenye makutano ya reli na Barabara ya Nyerere eneo la Gerezani, Dar es Salaam jana. Viotendo vya ukaidi wa baadhi ya madereva husababisha ajali. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment