21 December 2012

MOTO WA DHAHABU



Mkazi wa Dar es Salaam aliyetambulika kwa jina la Grentivisheni Eliya akionesha bidhaa ya kuwashia moto, inayofahamika kama moto wa dhahabu, Dar es Salaam jana kama alivyokutwa na mpigapicha wetu. Picha na Prona Mumwi.

No comments:

Post a Comment