Askari mgambo wa manispaa ya Ilala Dar es Salaam, wanao fanya oparesheni mbalimbali za uhalifu na kuzuia wafanyabiashara wanao fanyabiashara sehemu isiyo rasimi, wakiwa wamebeba nguo baada ya kuwakamata wafanyabiashara kama walivyokutwa na mpiga picha wetuwakielekea katika Ofisi zao kukabidhi bidha hizo.(Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment