13 December 2012

CHUPA


Mawakala wa kuzoa takataka wakitwikana  mfuko wenye chupa tupu za plastiki ambazo huziuza na kujiongezea kipato, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu makutano ya Barabara ya India, Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment