17 December 2012

HATARI


Mkazi mmoja wa Jiji ambaye hakufahamika jina lake akiwa anatengeneza baiskeli ya miguu mitatu, 'Guta' pembeni ya barabara ya Uhuru Dar es Salaam jana, ikiwa ni hatari kwa usalama wake na watumiaji wa barabara hiyo.(Picha na Anna Titus)

No comments:

Post a Comment