04 October 2012

MWIZI


Mtuhumiwa aliyekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na fedha bandia, Bi. Asha Abdallah (wa tatu kulia), akiwa chini ya ulinzi wa askari kanzu, kwenye ofisi za wakala wa M-pesa Yombo kwa Lulenge, wilayani Temeke, Dar es Salaam jana, wakati akijaribu kuziweka katika mtandao wa simu yake. (Picha na Baraka Kayagali)

1 comment:

  1. mbona hata kiasi alichokamatwa nacho hakijulikani au ndo itaharibu uchunguzi.

    ReplyDelete