Wafanyakazi wa Airtel wakitoa huduma ya internet kwa wateja waliotembelea duka lao lililopo Kinondoni Morocco, Dar es salaam jana, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja yenye lengo la kuwashukuru kwa kutumia huduma na mtandao huo. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment